Monday, May 10, 2010

Ni zamu ya Ben Po'

Yap! ni Bernard Paul ila akitupia zile swagger basi mwite Ben Po'. Huyu ni mchizi mpya kabisa katika fani ya music wa Rnb-Bongoflava. Ni msanii chipukizi ila mwenye uwezo mkubwa sana, na kama akiendelea kwa juhudi kama hizi basi itamchukua muda mfupi sana kufikia level kama za akina Belle 9, Steve Rnb, Diamond na wakali wengine

Single yake mpya imeanza kutinga redioni siku ya leo. ni RnB ya nguvu yenye swaga za shangwe shangwe hivi na hizi hapa ndio haswa details za wimbo huo aliowashirikisha Music lab finest ( One, Sterio na nikki mbishi):

Song title: Pata Raha
Artist : Ben Po ft Sterio, One & Nikki mbishi
Written By: Ben Po, Sterio, One & Nikki Mbishi
Composed By: Ben Po, Kanye Innocent, Duke
Produced By: Duke & Kanye Innocent
Keyboard By: kanye Innocent
Mixed & Mastered By: Duke

tega, sikio kwa radio mbali mbali kusikiza track hii.

No comments: