Monday, May 10, 2010

New Video for grace Matata

Well! Well! Well! Last Sunday (9th/May 2010) The singer did the video for her new song "FREE SOUL" for almost 60%. The rest will be done on Saturday. Adam Juma did what he did man, and from the look of it, the video is gonna be the bomb. Stay tune for her two releases at go.

2 comments:

Anonymous said...

niaje am a great fan of G matata,keep us, the fans up to date kuhusu kazi za grace if pocbo kam zinauzwa tuelekezane nkanunue,al be glad mazee,PEACE.BBOY

Anonymous said...

Bboy asante kwanza kwa kutembelea blog yetu ya maabara na pia tunashukuru sana kuwa moja wa supporters wa Grace matata.

well, album ya grace iko mbioni kutoka lakini pengine mida ya september na october hivi..hi ni kwa sababu ya grace kuwa busy na shule hivyo kukosa muda mzuri wa kuimalizia album yake.so far kasharekodi nyimbo takribani tisa..tunasubiri likizo ifike ila amalizie nyimbo nyingine 7 kutimia idadi ya nyimbo 16.

Tungependa kama ingetuma namba yako ya simu na utueleze unakaa wapi kwa kutumia sms ama email.

Just drop ur email via patrickgondwe@hotmail.com ama tuma an sms kwenda namba +255225504222. ukituma hizi particular kabla ya jumamosi..basi unaweza jumuika nasi siku ya jumamosi na kumshuhudia grace akiwa anarekodi studioni.

Moderator + studio manager
Patrick