Thot you never see it comin! Its increadible baby! Yap....... Yule mkali aka Mr. Increadible aka One aka Style&content hivi karibuni anataraji kufanya video ya mwimbo wake ambao upo juu sana kwa sasa katika medani ya hiphop. wadau kaeni mkao wa kula maana mambo yanaweza kukamilika soon plus video za wasanii wengine katika label.
1 comment:
ALL THE BEST SON,KEEP IT UP N I HOPE I'LL BE ON THAT VIDEO
Post a Comment