Tuesday, April 13, 2010

New Artist new Release

Music lab inapenda kumtambulisha mwanadada  Darlington. Nyimbo hii ipo katika mahadhi ya zouk, mwanadada huyu ni mmoja wa wasanii wa kwanza kabisa kuingia mkataba na label ya music lab ila kwa sababu ya kutingwa na shule ilibidi achelewe kutoka. Darlington ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha mzumbe morogoro. nyimbo hii imeshasambazwa katika vituo mbali mbali vya redio, yafuatayo ni maelezo machache ya wimbo huu:

Song titled: Ukurasa mpya  /ama Ni wewe
Artist: Darlington
Addition vocals: Grace matata (For Music lab) & LINA (for THT)
Produced by: Willie HD & Innocent kanye
Additional Keyboard By: Kamongo
Written By: Duke, Kanye & willie HD
Composed & arranged by: Darlington, Duke,.willie HD, Kanye Innocent
 Mixed By: Willie HD & Duke
Mastered by : Duke
Studio: Music Lab
genre: Zouk
label: Music Lab




Next release:
ONE - Increadible Remix ft Chid benz, Izzo business & Sterio (23rd/April/2010)
Manfred - Love you ft grace matata (30th/April/2010)
Sterio- Mtaani ft ozee from Motherland (30th/April/2010)
Grace matata - Si rahisi (Audio), Free soul (Video) - Mid may depending with the video editing from Adam)
Musa vipaji vingi- Amina (video and Audio)- mid May
Nikki mbishi - Playboy (end of May)

Tunashukuru kwa support yenu

No comments: