Tuesday, February 9, 2010

Duketachez na Grace Matata wala shavu XXL Teen Awards

Producer Duke na msanii chipukizi Grace Matata wamepata shavu la kuwa Nomenees katika scheme mpya ya Awards iliyoanzisshwa na CLOUDZ FM kupitia kipindi chake cha XXL. Duke yupo katika category ya producer bora wa mwaka, wakati Grace yupo katika category ya msanii bora chipukizi wa mwaka. List nzima ni hii hapa:

group of the year

1. wakali kwanza
2. wateule
3. nako2 nako
4. ofside trick
5. tmk halisi
6. wanaume tmk

dj of the year

1. dj pq
2. dj steve b
3. dj a.d
4. dj zero
5. dj maliz

hottest collable of the year

1. mimi - geez mabovu feat jay moe, fid q, chidi beenz
2. cnn - ngwea feat fid q
3. chama kubwa - tip top feat tmk wanaume
4. unapenda nini - jafarai feat fatma
5. nazeeka - mwana fa feat sugu & prof jay
6. right here - g nako feat chindo man

music producer of the year

1. lamar
2. macochali
3. q
4. tuddy
5. duke

video producers of the year

1. visual lab
2. kalaghe pictures
3. e media
4. kiumbe videos
5.hk visions

brand new artist of the year

1. diamond
2. quick racka
3. niki wa pili
4. godzila
5. grace matata
6. barnaba
7. chiku keto

male artist of the year

1. joh makini
2. chidi beenz
3. ngwea
4. belle 9
5. marlaw
6. mrisho mpoto

female artist of the year

1. lady jay dee
2. shaa
3. maunda
4. baby mmadaha
5. ray c

Music Lab inawapongeza na kuwatakia ushiriki mwema nomenees wote waliofanikiwa kupenya katika mchujo huu wa awali.

Changamoto tu kwa waandaji ni kuwa walipaswa kuweka criteria za kuwachagua nomenees mapema kabla hawajatoa matokeo ili kuondoa dhana ya kuwa Awards zote za Tanzania zimejawa na ubabaishaji.

1 comment:

Anonymous said...

Examples are : A Heartful of Love, Be Mine, Be My Valentine etc.
You could substitute a cheap plate for the charger.

I have many such items on the front of my fridge and I have always struggled with powerful magnets that didn't take up too much space.

Look into my page :: michaels coupon 40 off