Tuesday, February 2, 2010

Ngoma ya Nikki mbishi yafanikiwa kuwa ngoma bora ya jan 2010 Cloudz FM

katika ngoma nne zilizokuwa cello ya bongo fleva kipindi kinachoendeshwa na fetty ngoma ya nikki mbishi aliyoshirikisha belle 9 na one KILA SIKU imeshika nafasi ya kwanza baada ya kupigiwa kura nyingi kuliko ngoma zinginie zikiwemo am not a flirt ya klyn, one love ya steve r&b na nipigie ya A.t
mLAB inapenda kumpongeza nikki pamoja na ma collabo wote akiwemo Belle 9, Godzilla na ONE the Increadible, Pia inashukuru mashabiki wote, Cloudz FM na waandaji wote wa kipindi nyuma ya DJ Fetty.

wakati huo huo, single mpya ya Grace Matata inatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi feb, single hii amemshirikisha banana zahir zoro, maandalizi ya video ndio yaliyokwamisha utokaji mapema wa single hii. Imepangwa Audio na Video zitoke pamoja. MLAb ita release track ya msanii mpya katika label akijulikana kama STERIO sambamba na kazi ya grace.

1 comment: