Wednesday, December 30, 2009

Salaam za xmas na Mwaka mpya

Kwa niaba ya Mediakings na  Music Lab, tunapenda kuwatakia mashabiki wote wa muziki hapa nchini xmas njema na heri ya mwaka mpya. huu ndio muda wa kuipiga msasa mikakati ya kila moja wetu kwa mwaka unaofuata, yaani 2010.

Tunapenda kutoa shukrani kwa mashabiki wote, kwa mapokeo mazuri waliyoyaonyesha kwa artists wote wa mLab katika kipindi hiki kifupi. tukiwa tunajipanga kwa mwaka unaokuja, tungependa wewe kama shabiki utoe maoni yako kwa ni kipi kifanyike kinachoweza saidia kusukuma mbele gurudumu hili kubwa kuelekea katika mafanikio ya mmoja mmoja ama kwa ujumla.  unaweza tuma maoni yako kwenda barua pepe : info@mediakings.co.tz, ama mlab@mediakings.co.tz.

Asante

No comments: