mlab inanataraji kusambaza tracks mbili katika vituo mbalimbali vya radio vya hapa nchini kuanzia kesho ya tarehe 5 december 2009. Awali tracks hizi zilikuwa ziachiwe tarehe 27/November/2009 lakini kwa sababu zisizozuilika mpango huo ulisitishwa kwa muda. release ya kesho ni ya :
1. Nikki Mbishi featuring Godzilla, Belle 9 & One - "Kila siku
2. Otuck feat Ox- "Niite"
Wakati huo huo, Grace Matata jumamosi ya tarehe 5/december/2009 atashiriki katika tamasha la hisani lililoandaliwa na vodacom foundation litakalofanyika ukumbi wa mlimani city kuanzia 0900 hadi 1245. Hili litakuwa ni onyesho lake la pili, la kwanza likiwa la fiesta 2009.
No comments:
Post a Comment