Music Laboratory (mLAB) ni studio inayojishughulisha na uhandisi wa Audio, Video na Image ikiwa ni sehemu ya kampuni iliyosajiliwa inayojulikana kama MediaKings Tanzania Ltd inayojishughulisha na mambo ya media kama matangazo,promosheni, muziki na kadhalika
pamoja na mLab kujishughulisha zaidi na audio and video creactivity, pia inamiliki lebo za muziki. katika mLAB kuna label tatu, ya kwanza ikijulikana kwa jina la studio na aina ya wanamuziki wa lebo hii ni wale wanaopiga mziki wa kizazi kipya. Label ya pili yaitwa LAPAKACHE hii ni mahsusi kabisa kwa ajili ya jimbo zenye mahadhi ya kiafrika ikijumuisha band, pamoja na wasanii mmoja mmoja wanapiga nyimbo zenye mahadhi yaliyotajwa
lebo ya tatu ni Yahweh ikijikita sana katika nyimbo za injili na ikisimamiwa kwa karibu zaidi na ndugu Godwin Gondwe ambae pia ni sehemu ya wamiliki wa MediaKings.
Blog hii itatumika kama lugha ya mawasiliano kati ya jamii na project zinazoendelea ndani ya mLAB pamoja na events mbali mbali zinazoizunguka mediakings pamoja na studio kwa ujumla....wadau wote wa mLAB mnakaribishwa sana
2 comments:
Mbona hawa producers wengine hatujaona picha zao?mLab fan
Mbona hawa producers wengine hatujaona picha zao?mLab fan
Post a Comment